(For English, see below)

African Zebra Cancer Network Support (AZNETS), hapo awali ikisajiliwa kama shirika la jamii lililokuwa na eneo ndogo la utumishi njini Kenya sasa liko katika mchakato wa mwisho ya kubadilisha jina lake kuwa AFRICAN NEUROENDOCRINE CANCERS SOCIETY (ANECS) na kusajiliwa kama shirika la asasi za kiraia nchini Kenya na kuwa na jukumu kubwa na uwezo wa kuwa na matawi kadhaa kote nchini na nje ya nchi katika Afrika. ANECS mpya itavutia wanajama kutoka wagonjwa wa Neuroendocrine Tumors, jamii zao, wahudumu wa afya na madaktari, mashirika mengine wa saratani, Mashirika yasiyo ya Serikali yaliyo na nia ya kuendesha madhumuni na malengo ya yetu. ”
Katika uhusiano na hii, ANECS imekuwa kifua mpele kwa kutia moyo malezi ya vikundi vya mzaada na shirika tafouti katika nchi zingine za Kiafrika. Siku za hap nyuma kidogo, nchi ya Afrika kusini imeanza mchakato wa kuunda na kusajili kikundi Neuroendocrine Tumours South Africa (NETSA) kupitia juhudi ya Linda Greeff mfanyi kazi wa kijamii wa oncology (matibabu wa saratani) na ni wakili wa saratani anayefanya kazi sana. Kupitia mikutano wa mtandao tumewahibadilisha mawazo jinsi ya kuunda na kuendesha vikundi vya saratani ya Neuroendocrine. Tunatarajia kuendelea kuwasiliana na vikundi vingine barani Afrika ili kuongeza uelewa wa NET.
Tukiwa na msaada mdogo au bila tunajitahidi kufanya familia ya watu waliona saratani zifurahi na kufika hospitalini ambapo wanweza pata matibabu hata wakiwa eneo mbali na hospitali. Kwa wakati huu tuko na mradi wa kusajili wagonjwa wa saratani katika bima la kitaifa la NHIF na tunapata wengi wa wagonjwa hawawezi kumudu kulipa shilling 500 ($4.5) kwa mwezi kwa sababu wanishi chini ya dola. Tunatarajia ya kwa hapo mbeleni tunaweza pata mdhamini anayeweza kuwasaidia.

English:

African Zebra Cancer Network Support (AZNETS) initially a community based self-help group with limited area of operation in Kenya is currently in the final process of changing its name to African Neuroendocrine Cancers Society (ANECS) and being registered as a civil society in Kenya with a bigger mandate and ability to have branches throughout the country and beyond. The newly branded ANECS will attract membership from neuroendocrine patients, their family members, healthcare professionals, specialists and other civil societies and non-governmental organizations interested in furthering our aims and objectives.

In relation to this, AZNETS (future ANECS) has been at the forefront of encouraging the formation of support groups and organization in other countries in Africa. In the recent past, South Africa has started the process of formation and registration of Neuroendocrine Tumours South Africa (NETSA) through the efforts of Linda Greeff, an oncology worker who is very active in cancer advocacy. Ideas on how to form and run NETs support groups have been exchanged through online meetings. ANECS hopes to continue contacting other groups in other countries in Africa to raise awareness and support NET patients in those countries.

With the little financial support that ANECTS get or no support at all we strive to make families of cancer patients happy and reach the hospital where they can get treatment however far-flung. At the moment we have a project to register the cancer patient to the national hospital insurance fund (NHIF) and we find a lot of patient who are not able to raise the mandatory Kshs 500 ($4.6) because many of them live below a dollar a month. We hope in in future to find a partner to sponsor them.